Malipo Yamerahisishwa

Wezesha biashara yako kupokea malipo kutoka benki yoyote, mtandao wowote na kadi yoyote kupitia Lipa Hapa ya benki ya CRDB.

Urahisi kwa Wateja

Ukiwa na TanQR utawarahisishia wateja kufanya malipo kwa kutumia Simbanking App au Simbanking USSD(*150*03#), kwa kadi yoyote, kutoka benki yoyote na mtandao wowote wa simu.  

Faida kwa Mfanyabiashara

Fedha zinawekwa moja kwa moja katika akaunti ya benki.

Ujumbe wa malipo unatumwa kwa mfanyabiashara na mteja

Uwezo wa kuona taarifa ya miamala

Mfanyabiashara anaweza kuomba huduma kupitia tovuti ya benki

Pokea malipo kutoka kwa watumiaji wa simu (Benki na Mitandao ya simu)

icon-checkmark-circle_1
icon-checkmark-circle_1
icon-checkmark-circle_1
icon-checkmark-circle_1
icon-checkmark-circle_1

Bonyeza "Jisajili Sasa" kujaza fomu ambayo itahitaji taarifa za biashara na viambatanisho, taarifa za benki na mawasiliano ya biashara.

Jinsi ya Kuomba TanQR

Kuomba huduma ya TanQR, unahitaji uwe vitu viiwili;

Biashara ambayo inauza huduma au bidhaa halali

Uwe na akaunti ya benki ya CRDB, na endapo huna akaunti tutakufungulia.

Rahisisha Malipo kwa TanQR

Kwa Mawasiliano Zaidi

Barua pepe: [email protected]

Simu: +255755197700